Jamiiforums member's party

Jamiiforums member's party

Ngoja niandae Zana wale wa jukwaa la siasa mjiandae "daddy is coming "
 
Hahaaa. Ilishawezekana tukakutana watu wanne kwa wakati mmoja naona inatosha ila rundo la watu. Hapana aiseee.

Sababu jf ya sasa sio ile ya zamani na hilo linajulikana.

Davet, ukhuty na Mwifwa wanatosha kwa upande wangu sababu tukikutana kwetu huwa ni zaidi ya Party.
Hutaki tukuone Hajar?
 
Hapana kwakweli!!
Hii ni sawa na kusema kuundwa saccos ya JF
 
Anaetaka kuonana na mimi na akuje pande za ghetto hapa, ila hapa ni bangi mwanzo mwisho, tunachoma tangu asubuhi hadi jioni. Misosi kwa sana tu[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom