Jamiiforum's members tubadilikeni

Jamiiforum's members tubadilikeni

Mtetezi.com

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
3,134
Reaction score
3,584
Baada ya jamii forums kuwa suspended kwa mda kidogo nimejikuta kuwa mzito kidogo kuingia jf mara kwa mara tofauti na ilivyokuwa awali nadhani sio mm tu hata members kibao siwaoni wakipost tena nahisi wale jamaaa walitutoa ktk mood.

Niende kwenye mada;
Juzi nmekuwa very disappointed baada ya kuingia jf yani kila nikichek new posts nakutana na habari za udaku udaku tu nmefanya hivyo mara kadhaa mara Munalove kafanya hivi, mara Woya kavaa vile, mara sijui Mond kavaa kikuku .

Ni kweli kikatiba kila mtu ana haki ya kujieleza ilimradi tu asivunje sheria ila hayo maudaku sio kwa Great thinkers coz great thinkers always speaks/talk about ideas na weak people talk abt others jf tusifike huko mbona kuna mambo mengi tu ya kuzungumza ambayo yanaweza kumsaidia msomaji sasa mimi ukiniambia habari za Shilole nafaidika vipi?

Ni kweli hatuwezi kuwa serious mda wote but ni kweli pia hatuwezi kumake funy mda wote tuutumie huu mtandao vyema ili hata tuwe proud "ebwana mimi situmii hiyo mitandao yenu ya udaku natumia jf" hata asiyekuwa member akiingia anajua kuwa for real jf is the home of great thinkers sio kuingia tu anakutana na "jamani mademu wa jf ni maharage ya mbeya"

NB
Ni mawazo yangu tu
Siwakatazi na hata nikiwakataza neno langu sio sheria.
 
jitoe
 
Kwani lazima ufuatilie hayo majukwaa ya udaku,ni kama vile nyimbo kama hauipendi basi zima redio
 
Tatizo ni JF kujaa vitoto vya sekondari ambavyo kwao "ngono" is still a mystery na ndiyo maana utaona hoja nyingi sana humu zimekaa kingono ngono sana na kiudaku udaku.

Jamii Forums is no longer a platform for great-thinkers, it is a platform for the dumb and shallow thinkers. Watu ambao kazi yao ni kujadili habari za udaku, umbea na ujinga ujinga.
 
Atajua Mwenyewe, Labda Awaambie Admins Waondoe Majukwaa Ya Udaku
Umeonaeeee. Na hii ni biashara kama biashara nyingine na hata wenyewe wenye jf yao wanalijua hilo.

Pia asisahahu hayo majukwaa huwa yanachangamsha saa nyingine na si lazima eti kila mtu akiingia jf basi aumize kichwa kuliko kawaida wakati maisha yenyewe tu yanatuumiza kichwa.
 
Ukishindwa kuishi na watu kwa kuvulia vile ambavyo hauvipendi utajikuta unakasirika kila muda.

Jifunze kupuuza vile ambavyo unahisi sio level yako au havikufai.

Jifunze pia kukubali vile ambavyo hauwezi kuvibadilisha kwa wakati husika.
 
Umeonaeeee. Na hii ni biashara kama biashara nyingine na hata wenyewe wenye jf yao wanalijua hilo.

Pia asisahahu hayo majukwaa huwa yanachangamsha saa nyingine na si lazima eti kila mtu akiingia jf basi aumize kichwa kuliko kawaida wakati maisha yenyewe tu yanatuumiza kichwa.
Upo sahihi kabisa dada!
 
Back
Top Bottom