JamiiForums naomba kueleza ni kweli chuki ya utawala inaenezwa na mtawala mwenyewe

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Sio utani wala kupindisha Moderator kuna mda unataka kupindisha ila mtakumbuka haya maneno.

Mtawala ndio analeta chuki ambayo sasa kaingiza kwenye udini kabisa akijua kitamuokoa.

Mimi sipendi kuweka wazi ila wanayofanya kwenye ku promote huko kuna kitu sio kizuri.

Sisi wa tanganyika wanataka tugawanyike sababu ya mtawala wa pwani.

Msipo shtuka ndugu zangu waislamu wazamini wa chuki hizi ni BAKWATA wana mwagiwa pesa za kufa mtu.
 
Eeeh
 
Msipojifunza njia za Ku-survive katika utawala huu , mtalalamika kila wakati .

Ila tuliwaambia fateni njia hii mkatuita chawa
 
Sio utani wala kupindisha Moderator kuna mda unataka kupindisha ila mtakumbuka haya maneno.

Mtawala ndio analeta chuki ambayo sasa kaingiza kwenye udini kabisa akijua kitamuokoa.

Mimi sipendi kuweka wazi ila wanayofanya kwenye ku promote huko kuna kitu sio kizuri.

Sisi wa tanganyika wanataka tugawanyike sababu ya mtawala wa pwani.

Msipo shtuka ndugu zangu waislamu wazamini wa chuki hizi ni BAKWATA wana mwagiwa pesa za kufa mtu.
Screenshot_20251211_131911.jpg

ushahidi tosha huu hapa ni lazima wangechukuliwa hatua na mafwele kama wasingetumwa
 
Back
Top Bottom