kichwa kikubwa
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 2,273
- 1,710
Magufuli tunaye humu, naye huwa anaambiwa "kachukue posho ya buku 7 pale viungani vya Lumumba".
Hiyo ndiyo raha ya ID fake.
Hiyo ndiyo raha ya ID fake.
AiseeYumo humu 24/7 kama huamini fuatilia maamuzi mengi dondoo zake zinatoka JF
[emoji23][emoji23]Magufuli tunaye humu, naye huwa anaambiwa "kachukue posho ya buku 7 pale viungani vya Lumumba".
Hiyo ndiyo raha ya ID fake.
Yumo humu 24/7 kama huamini fuatilia maamuzi mengi dondoo zake zinatoka JF
Mkuu kama anatumia ID. za kubumba kama zetu utamjuaje? au unapendekeza awe verified user..
Ebu jaribu kuziangalia kwa jicho la tatu ID za Bia Yetu na Kawe Alumni ambazo hujitokeza sana nyakati za uchaguzi, huenda akawa ndiye mmiliki. Jina Bia ama Pombe kuna msigishano fulani wa kiaina.JamiiForums ni bidhaa ya Kitanzania iliyoundwa na watanzania kwa ajili ya watanzania. Rais wetu amekuwa akisisitiza sana Raia wetu kutumia vitu vyetu ili kukuza uchumi wetu lakini naona yeye ana account Twitter, Facebook nk lakini sioni akiwa na account yake JamiiForums ambao ni mtandao wa kitanzania
Hivyo namuomba Mheshimiwa Rais atoe maagizo kwa idara na taasisi zote za serikali kuwa na account JamiiForums ambazo zitakuwa verified ili watanzania wapate taarifa kutoka kwenye mtandao wao badala ya kusubiri Twitter ambao ni mtandao wa Marekani
HOJA ninazoweza kujibu nikitofautisha na twitter
Pascal Mayalla alisema twitter kumejaa matusi na aliomba ikibidi Twitter ifungiwe Tanzania, naamini hata matusi yanaweza kuwepo JamiiForums lakini tofauti ni kuwa ndani yaJamiiForums Uzi unaweza kufungwa ili mtu asikoment chochote mara baada ya Rais kutoa taarifa ya shukrani, pongezi au teuzi
Aidha mtandao wa JamiiForums una namna nzuri ya kutoa matusi hata kama hayajaripotiwa kwa Mods hali inayoweza kuhakikisha mambo mazuri kwa utaifa
Umuhimu wa yeye kuwa JamiiForums
Itaongeza idadi ya watu wanaotembeleaJamiiForums na kuifanya JamiiForums kuzidi kukua, pia itafanya watu wachunge maneno yao, halikadhalika watu watajisikia huru kuuliza mambo mengi zaidi ndani ya JamiiForums na kupata majibu ya papo kwa urahisi
Aidha kama ilivyoazimiwa kwa watendaji wa serikali kutumia TTCL mtandao wa Nyumbani, ni vizuri kwa Rais kuonesha mfano na kuamrisha idara, asasi, taasisi na mashirika, wizara na ofisi ya rais kuwa na akaunti JamiiForums
Nawasilisha
Narudi zangu kusolve some Mathematical Equation
Si hata twiter hawatoi siri zawateja,na ipo account yake,Inawezekana yupo ila ID yake haiwezi kuwa wazi kwa sababu wamiliki wa JF hawatoi siri za wateja wao kizembe jambo ambalo yeye nina uhakika halifurahii...kuweka wazi akaunti yake ya humu ni kubariki Yale asiyoyaamini
Bwahahahahaaaa.......yaani akachukue buku 7 kwa polepole.Magufuli tunaye humu, naye huwa anaambiwa "kachukue posho ya buku 7 pale viungani vya Lumumba".
Hiyo ndiyo raha ya ID fake.
Wale wale mliopigwa dole na kuachwa, mna hasira lakini ndo hamna uwezo wa kumfanya chochote.Anazo akili za kuandika chenye maana? Ukisoma makala za Bensa8 juu ya uwezo wa kiakili wa huyu mtu, unabaki unajiuliza hv watanzania tulirogwa na nani kumpa mamlaka makubwa hivi?
Huyu hapa, anawapa hi wadau anasema tupo pamoja..Tupo pamoja
Ebu jaribu kuziangalia kwa jicho la tatu ID za Bia Yetu na Kawe Alumni ambazo hujitokeza sana nyakati za uchaguzi, huenda akawa ndiye mmiliki. Jina Bia ama Pombe kuna msigishano fulani wa kiaina.
Sent from my Nokia 2.1 using JamiiForums mobile app
Jukwa lipi?Aliyekuambia kuwa Mheshimiwa pamoja na Wasaidizi wake si Members hapa Kakudanganya sana. Jamaa Usiku halali na huwa tunakesha nae JF.