JamiiForums ni bidhaa yetu, kwanini Rais haitumii?

Hawawezi kuja humu hata siku moja 7babu humu ndio kuna cream na vilio vya Watanzania ambao wameamuamua kunfunga paka kengele yaani watanzania wanaozungumza ukweli na ukweli ni maji na uongo ni povu la omo.
 
Waafrika sisi ni masikini kwasababu mbalimbali mojawapo ikiwa ni kutothamini vya kwetu na kuvifanya vya thamani.
Hii nchi ni Tajiri sana lkn hatuna viongozi wenye nia njema .Kwa mfano mdogo kabisa mpaka laana ya leo MAJI NA UMEME ni shida hatujui kwa nini na ulimwengu hauko hivyo vipi utakuwa na maendleo bila kuwa na ENERGY.
 
Nae yupo kwa identity aipendayo! ambayo wewe tu ndie huijui! kama ilivyo kwako Mathematical Equation!! wakati jina lako halisi ni Mathematical Expression!!!
 
Nilitaka kusema kitu ila itanicost sana..sio ban tu hapa jf bali hata kitaa.
 
Yumo humu 24/7 kama huamini fuatilia maamuzi mengi dondoo zake zinatoka JF
Huyu bwana Jiwe ana vinasaba vya bundi hapendi kabisa kulala akikosa kazi ya kufanya usiku anakesha akipitia mafile ya toka 1958.Sijui kwa nini hatumii huo muda kujifunza matumizi ya present perfect tense
 
[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji2815][emoji2815][emoji2815][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550]

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
 
Hoja makini tena sahihi sana mkuu.

Umemaliza yote
Ninaunga mkono
 
Yupo humu mie alishawahi kunitusi ukirudisha mapigo anakimbia kwa kuhofia kubambwa na hujibu mara mbili au tatu tu na huingia humu usiku wa manane. Pia ana ID zaidi ya moja.
 
Mbona Yuko humu Sana tu

Labda we hujui

Anawazoom tu jinsi mnavyomnanga mnamwita majina ya ajabu ajabu msidhani haoni [emoji1]

Sema mzee Ni mtu peace tu nayeye anaburudika kiasi chake.
 
Yupo humu mie alishawahi kunitusi ukirudisha mapigo anakimbia kwa kuhofia kubambwa na hujibu mara mbili au tatu tu na huingia humu usiku wa manane. Pia ana ID zaidi ya moja.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…