Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda kapige mchongo huo.Habari wakuu!,mi ni graduate-2011 na nimekuwa nikifuatilia matangazo ya kazi hapa JF na kutuma application zangu, nimeitwa kwenye interview 5 na sasa nimeitwa kufanya kazi kwenye kampuni 3 tofauti, zote nimepewa mikataba nimeisoma lkn sijaisaini bado, tatizo ni malipo. Yani ina-arange 380,000 mpaka 400,000. Je, kwa maisha ya Dar zinaweza kukidhi? Mi sina uzoefu na jiji hili nimekuja tu kutafuta kazi na nipo kwa ndugu maana yake nikipata kikazi hicho nitalazimika kuanza maisha yangu.
You must be jinias aiseeeeee........ila mkuu wewe noma unaamka na kuanza kupika??Mkuu, ni kupangilia tu, ingawaje huo mshahara sio mkubwa, lakini huwezi ku-suffer on ur way on getting perfect job for u. Binafsi, natumia about TZS 150,000/= kwa mwezi na napiga menu ya maana kabisa kuliko anayetumia 300,000/= kwa mwezi.
Here is how I do (Huwa nafanya yafuatayo mara nipatapo salary yangu):
- Nanunua mchele 15 kg@ 1,500/- = TZS 22,500/-
- Nampa mshikaji wa bucha sh. 28,000/ kwa mwezi ~hapo ni nyama 0.5kg (stake) na 0.5kg(maini). Hizo ni kwa wiki, ambapo natumia 7,000/- kwa wiki na 28,000/- kwa mwezi. Nilichofanya baada ya kuhamia hapa kitaa, nikajenga mazoea na mshikaji wa bucha hadi akawa rafiki yangu na hivyo, ninapomwachia 28,000/- nina uhakika wa kwenda kuchukua nyama kila wiki bila longolongo!
- Watu wa mwambao bila nazi, msosi hauendi...na siku kuna nazi(ya tui) za bakhresa, nina shida gani!!!! Natumia pakti mbili kwa wiki @600, therefore nanunua za mwezi mzima kwa sh. 4,800/-
- Huwa nanunua mafuta ya kula tena yale yale ambayo maskini kama mimi wanayaogopa....ya alizeti kwa sh.18,000/ (lita 3) ambayo nayatumia si chini ya miezi 4 (means kwa mwezi na-spend sh 4,500/-)
- Nanunua in advance sukari 2kg @2000= TZS 4,000/- .
- Nanunua Soya 3 packets @2,000~~~~ TZS 6,000/- kwa mwezi (huwa situmii kabisa majani ya chai)
- Maharage 2kg@ 1,800/= (3,600/- kwa mwezi).... nyama peke yake huwa haipandi kwahiyo lazima nipate maharage kidogo.
- Tambi kwa ajili ya weekend 8pc @ 1000= 8,000/-
- Mafuta ya taa 6lts @ 2000 = 12,000
- Njegele 1,200/- kila weekend...napenda sana hii ki2 na tambi!= 4,800/- kwa mwezi
22,500 + 28,000+4800+4500+4000+6000+3600+8000+12,000+4,800= 98,200/=
Hapo unakuta natumia kama laki tu, lakini napata vitu vyote muhimu for my favorite meal !! Addition point ni kwamba, ninapoenda job, huwa sinywi chai asubuhi, BALI HUWA NAKULA MSOSI!!!
Nimeeleweka?
Sinywi chai; NAPIGA MSOSI! Always, ingawaje sikai mbali na town, huwa naamka saa 11 alfajiri na kuanza kupika WALIIIIIIIII......! Nikishapiga menu yangu ya adabu asubuhi, wala sihangaiki lunch time; by the way, nikishatulia kwenye kiti changu huwa sipendi usumbufu!
Eti unakuta mtoto wa kiume anasema "eti siwezi kula asubuhi.....!" mtu ukiwa na hayo mawazo then be prepared kuolewa mambo yatakapobana! Nasikitika sana kwamba hamna daladala ambazo naweza kulipa in advance, otherwise, I'd do it....sipendi stress kwenye maisha, hususani kwa vitu vya kipuuzi kama basic needs!
Try it, utakuja gundua maisha is very easy sema hatuyajulii tu!!!
...1)Hiyo uliyopiga 6*12*300,000 ni umezidisha tu 300,000 kwa miaka sita, haujaweka interest .
..5) Formula rahisi ya kutafuta pato kwa kutumia compound interest ni P(1+r/n)^ nt (for one-time investment)
...Au ngoja nikurahisishie: 300,000 monthly, for 6 yrs at 8% compound interest, compounded annually
6x3.6M + 5x3.6Mx1.08+ 4x3.6Mx1.08^2 + 3x3.6mx1.08^3 + 2x3.6Mx1.08^4+ 1x3.6mx1.08^5 = aprox. 90M
If u compound it monthly, inaenda to 100m+ coz u deposit monthly too!!..
Walimu na wauguzi wanaishije? Acheni kujifanya sio watanzania, huu ni ubwege. Ni kweli huo mshahara si mkubwa lkn si kweli kwamba hauwezi kuishi. Sasa hivi hana hata senti anaishije? Umbea wa kiume hauna hata mashiko. Kwa bajeti hiyo mimi enzi zangu mbona ningemiliki hata nyumba ndogo 2. Tupunguze mashauz, huyu anayeuliza hana mtoto wala mjukuu, ni yeye, sehemu zake za siri na tumbo, atashindwa vipi kuishi kama sio kutaka kuleta ujuaji hapa?
WEWE BWANA MDOGO, KAANZE KAZI WA NOTI NDEFU UTAKUKUTA HUKO HUKO UKIWA KAZINI. NDIO WAKATI WAKO WA KUJIFUNZA MAISHA NA BAJETI
Mkuu kweli wewe ni mzee wa budget,...ila siku ukioa kumbuka kubadilika maake_mmmmmmhMkuu, ni kupangilia tu, ingawaje huo mshahara sio mkubwa, lakini huwezi ku-suffer on ur way on getting perfect job for u. Binafsi, natumia about TZS 150,000/= kwa mwezi na napiga menu ya maana kabisa kuliko anayetumia 300,000/= kwa mwezi.
Here is how I do (Huwa nafanya yafuatayo mara nipatapo salary yangu):
- Nanunua mchele 15 kg@ 1,500/- = TZS 22,500/-
- Nampa mshikaji wa bucha sh. 28,000/ kwa mwezi ~hapo ni nyama 0.5kg (stake) na 0.5kg(maini). Hizo ni kwa wiki, ambapo natumia 7,000/- kwa wiki na 28,000/- kwa mwezi. Nilichofanya baada ya kuhamia hapa kitaa, nikajenga mazoea na mshikaji wa bucha hadi akawa rafiki yangu na hivyo, ninapomwachia 28,000/- nina uhakika wa kwenda kuchukua nyama kila wiki bila longolongo!
- Watu wa mwambao bila nazi, msosi hauendi...na siku kuna nazi(ya tui) za bakhresa, nina shida gani!!!! Natumia pakti mbili kwa wiki @600, therefore nanunua za mwezi mzima kwa sh. 4,800/-
- Huwa nanunua mafuta ya kula tena yale yale ambayo maskini kama mimi wanayaogopa....ya alizeti kwa sh.18,000/ (lita 3) ambayo nayatumia si chini ya miezi 4 (means kwa mwezi na-spend sh 4,500/-)
- Nanunua in advance sukari 2kg @2000= TZS 4,000/- .
- Nanunua Soya 3 packets @2,000~~~~ TZS 6,000/- kwa mwezi (huwa situmii kabisa majani ya chai)
- Maharage 2kg@ 1,800/= (3,600/- kwa mwezi).... nyama peke yake huwa haipandi kwahiyo lazima nipate maharage kidogo.
- Tambi kwa ajili ya weekend 8pc @ 1000= 8,000/-
- Mafuta ya taa 6lts @ 2000 = 12,000
- Njegele 1,200/- kila weekend...napenda sana hii ki2 na tambi!= 4,800/- kwa mwezi
22,500 + 28,000+4800+4500+4000+6000+3600+8000+12,000+4,800= 98,200/=
Hapo unakuta natumia kama laki tu, lakini napata vitu vyote muhimu for my favorite meal !! Addition point ni kwamba, ninapoenda job, huwa sinywi chai asubuhi, BALI HUWA NAKULA MSOSI!!!
Nimeeleweka?
Sinywi chai; NAPIGA MSOSI! Always, ingawaje sikai mbali na town, huwa naamka saa 11 alfajiri na kuanza kupika WALIIIIIIIII......! Nikishapiga menu yangu ya adabu asubuhi, wala sihangaiki lunch time; by the way, nikishatulia kwenye kiti changu huwa sipendi usumbufu!
Eti unakuta mtoto wa kiume anasema "eti siwezi kula asubuhi.....!" mtu ukiwa na hayo mawazo then be prepared kuolewa mambo yatakapobana! Nasikitika sana kwamba hamna daladala ambazo naweza kulipa in advance, otherwise, I'd do it....sipendi stress kwenye maisha, hususani kwa vitu vya kipuuzi kama basic needs!
Try it, utakuja gundua maisha is very easy sema hatuyajulii tu!!!
Au ngoja nikurahisishie: 300,000 monthly, for 6 yrs at 8% compound interest, compounded annually
6x3.6M + 5x3.6Mx1.08+ 4x3.6Mx1.08^2 + 3x3.6mx1.08^3 + 2x3.6Mx1.08^4+ 1x3.6mx1.08^5 = aprox. 90M
If u compound it monthly, inaenda to 100m+ coz u deposit monthly too!!
BON CHANCE!!
Hata mimi nipo tayari kukopa sehemu yoyote hata milioni 100 na kuweka kwenye hiyo benki yake!Kwa hii hesabu naomba mkuu ufungue benki ili nije kuweka pesa zangu.
Sikiliza mkuu,
380,000/= na 400,000/= hakuna tofauti yoyote. Maana yangu ni kwamba, kama range ya mshahara ndio hiyo basi hapo usiangalie kigezo cha mshahara, bali angali ni kazi gani ambayo itakuuza vizuri hapo baadae. You get wht I mean?
Assume kampuni A ni benki ambayo wamekupa nafasi ya Teller na salary offer ya sh. 400,000/= na company B, nayo ni reputable company na wameku-offer post ya Marketing Officer kwa mshahara wa sh. 370,000/= ! Kwa ushauri wangu, accept offer ya marketing officer kwa 370,000/= coz' marketing officer inauzika kuliko teller.
Kama salary inatosha au haitoshi, ni kwamba huo mshahara ni mdogo lakini usiache coz' hapa town sio kwenu na umekuja kutafuta. Tatizo lenu watu kama nyinyi (yaani mliokuja Dar karibuni) mna ujinga wa kuangalia washikaji zenu wanakaa wapi badala ya kuangalia una salary kiasi gani. Utakuta mtu kamaliza UDSM, washikaji zake wanaishi Mwenge/Sinza/Ubungo (nyumbani kwao) nanyi mnataka kupanga maeneo hayo. Utaumia broda!
Mahali kama Kwa Azizi Ally, unapata chumba kwa sh.30, 000/- tena kizuri tu kwa mtafuta maisha. Mahali penyewe karibu na town, una uhakika wa kutumia 600/- tu kwa nauli; sehemu za kula bata hadi uzisumbukie..... unadhani basic ya 380,000/= haiwezi kukusogeza wakati unatafuta better post?! it can broda!
Akili za mbayumbayu, changanya na za kwako!!!
You must be jinias aiseeeeee........ila mkuu wewe noma unaamka na kuanza kupika??