JamiiForums Shinyanga wing: Ingia humu tujuane

Wana Shy Wing njooni Rock City Wing December kutakuwa na ugeni wa Arusha Wing aka wazee wa Bata aka Mabilionea!!!!!
 
Mkubwa wewe uko Shy??? Ni napatikana Mwasele misele uswahilini..... Vipi leo NSSF kwa Mzee Yusuph Jahaz Modern. Utakuwepo???

Mkuu,
Mzee Yusuf kweli anahusika leo.. Daah! Mula ndo tatizo. Ngoja ntakaa nje pale NSSF niwe namsikiliza!
kie kie kie kie kie kie
 
Poa mrembo.. ntawaleta wajomba toka "BLESSED TOWN" eikeikei "SHYTOWN"

Pm me ya namba yooooh!!!

aisee mie ntakuuliza maswali personal yanayontatiza mapenzini afu ole wako ung'ateng'ate vidole
 
Shy Town the place to be nilipohamia hapa sikudhani kama nitapapenda but now shy town is home away from home.... Mji mpana huu!!!!
 
Hii ni kwa wana jamiiforums waliopo Shinyanga tu.. please karibu humu tujuane.. na tuweke mkakati wa kuitangaza JF Shy!!

Sinto pasahau na ninapaogopa shinyanga, tangu palipo tokea mauaji mule maduka mengi (7) night club kwa jamaa kuchomwa na kisu doh...!!
 
Sinto pasahau na ninapaogopa shinyanga, tangu palipo tokea mauaji mule maduka mengi (7) night club kwa jamaa kuchomwa na kisu doh...!!

Siku hizi kumetulia karib Zanzibari Café karibia na Jomu primary tunywe supu ya pweza
 
Wale wote wanapopajua stand kwa wauza madawa ya kienyeji wani pm,ama wanitafute kwa nambari 0759947397 mara tu watakaposoma hii coment
 
Wale wote wanapopajua stand kwa wauza madawa ya kienyeji wani pm,ama wanitafute kwa nambari 0759947397 mara tu watakaposoma hii coment

Nikipita mitaa hiyo.ntakucheki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…