Blessed Keinerugaba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 4,754
- 4,746
Isaka?
uko wapi kwa sasa mkuu missm4c?niko Shinyanga mjini for some months now ndio makazi yangu kwa sasa,kama bado uko Shinyanga tafadhali tukutane PM kwa mazungumzo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Isaka?
Nene nale Baryadi bagosha
Hii ni kwa wana jamiiforums waliopo Shinyanga tu.. please karibu humu tujuane.. na tuweke mkakati wa kuitangaza JamiiForums Shinyanga.
pamoja na Imalamagigo
Niliwahi kuishi Ndala umenikumbusha mbali mkuu kulikuwa na kiduka cha mchaga mmoja anaitwa Baba Gadafi sijui bado yupo alikuwa anatupatia mahitaji madogomadogoAsante.
Nami napatikana NGOKOLO maeneo ya ROYAL TEN Hotel.
bhe bhe ngosha ulinamasara inhene gete ubebe??
Nene nale Baryadi bagosha