Blessed Keinerugaba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 4,754
- 4,746
Isaka?
Nene nale Baryadi bagosha
Hii ni kwa wana jamiiforums waliopo Shinyanga tu.. please karibu humu tujuane.. na tuweke mkakati wa kuitangaza JamiiForums Shinyanga.
pamoja na Imalamagigo
Niliwahi kuishi Ndala umenikumbusha mbali mkuu kulikuwa na kiduka cha mchaga mmoja anaitwa Baba Gadafi sijui bado yupo alikuwa anatupatia mahitaji madogomadogoAsante.
Nami napatikana NGOKOLO maeneo ya ROYAL TEN Hotel.
bhe bhe ngosha ulinamasara inhene gete ubebe??
Nene nale Baryadi bagosha