JamiiForums Shinyanga wing: Ingia humu tujuane

Nene nale Rubaga Inn, ng'wana wane... Karibu sana.
 
Mimi nikisikia shinyanga sijui hata napaonaje. Naona kama hapakai watu
 
Hahaha mkuu umenifurahisha sana.. so mshahara mjini... Daaah hivi kweli maisha hayo bado yapo kweli??

mkuu sisi wengine tuna taabu,ni shida sana!
Nipo Maganzo leo,kesho nitakuwa Shinyanga mjini eheheheheh
 
Wa Ndembezi tutambuane hapa.. Mi nipo karibu na shule ya Barina.
 
Duh! sukula kuna tofauti zaidi ya miaka 10 mimi naondoka headmaster alikuwa almarhum majenga ila ntaganyamba na yegela walikuwa walimu wa kawaida namkumbuka marehemu tambalu na marehemu ngusa ndo alikuwa secondmaster.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…