JamiiForums Shinyanga wing: Ingia humu tujuane

Ndembezi karibu na kwa marehemu mzee Gaba hapa!!
Home ni opposite na dereva wa mkuu wa mkoa mzee Malale....
 
Duh! sukula kuna tofauti zaidi ya miaka 10 mimi naondoka headmaster alikuwa almarhum majenga ila ntaganyamba na yegela walikuwa walimu wa kawaida namkumbuka marehemu tambalu na marehemu ngusa ndo alikuwa secondmaster.

Dah.....siku nyingi sn aisee.
 
Pia walikuwepo kama Mrs Nkulu marehemu maduhu pia bundala hicho ndicho kipindi nimepita hapo poa SUKULA pamoja sana.
 
Pia walikuwepo kama Mrs Nkulu marehemu maduhu pia bundala hicho ndicho kipindi nimepita hapo poa SUKULA pamoja sana.

Mwal Ngudungi,Lupenza,Marehemu Maduhu,Bundala unawapata?? Bila kumusahai Ntaganyamba,Mr Maganya mzee wa Bagondage...!!
 
Mwal Ngudungi,Lupenza,Marehemu Maduhu,Bundala unawapata?? Bila kumusahai Ntaganyamba,Mr Maganya mzee wa Bagondage...!!

Hv huyu maduhu ndio yule babu aliekuwa anafundisha kiswahili? Alikuwa mweupe kiasi yaan rangi km ya Yegella. Ndio huyo mnaemsema?
Km ni yy duh....kumbe alishafariki. RIP mwl wetu.
 
Mawazo ujenzi hapo nilimuacha maganya,bundala pamoja na ngudungi ambae nadhani aliitwa lucas checkbob flan hivi.
 
Mawazo ujenzi hapo nilimuacha maganya,bundala pamoja na ngudungi ambae nadhani aliitwa lucas checkbob flan hivi.

Lucas Ngudungi kawatembezea dushe sana wanafunzi wa Buluba.... nilitoka pale 2003!!! Darasa letu hakuna aliyepafa four,tulikua mameni wote... enzi hizo Yegela hata ukipeleza marks 0.5! Huendi mbele zaidi ya kwenda Buhangija,Kanawa au Lalago....
 
Hv huyu maduhu ndio yule babu aliekuwa anafundisha kiswahili? Alikuwa mweupe kiasi yaan rangi km ya Yegella. Ndio huyo mnaemsema?
Km ni yy duh....kumbe alishafariki. RIP mwl wetu.

Ndo yeye Maduhu,alifariki mwaka jana kama mwezi wa nne hv au wa tano!!
Kiyuga kafungua kanisa lake Shinyanga siku hz ni mchungaji
 
Kiyuga ndo yule mrefu hivi alikuwa anafundisha chemistry?alikuwa mjivuni flan hivi?duh kitambo ila ngudungi alikuwa smart sana nilikuwa na amani nae mpaka naondoka hapo.
 
Kiyuga ndo yule mrefu hivi alikuwa anafundisha chemistry?alikuwa mjivuni flan hivi?duh kitambo ila ngudungi alikuwa smart sana nilikuwa na amani nae mpaka naondoka hapo.

Ndo mwenyewe huyo Kiyunga... mnyantuzu yule pale dat y.....!!!

Ngudungi alikua msela sana,hakua na ujinga kama wa Bundala,Maganya!!
Poa pamoja sana now nipo dsm,shinyanga ntaenda mwezi wa 6 likizo,ntaenda mtafita Ngudungi,now anafanya kazi kwenye company ya mwanafunzi wake Suleiman Masoud Nchamb's.....!!!!
 
Pia walikuwepo kama Mrs Nkulu marehemu maduhu pia bundala hicho ndicho kipindi nimepita hapo poa SUKULA pamoja sana.

Majenga alishafariki pia,nilikutana nae Saut kipindi flani alikua Lecture pale...

Mama Nkulu alikua katibu wa marehemu bishop Balina... sasa hv sijui yuko wapi.....
 
YAANI NYIE MNA UBINAFSI SANA MNAITANA WENYEWE KWA WENYEWE

CC: Rich Pol
Hii ni kwa wana jamiiforums waliopo Shinyanga tu.. please karibu humu tujuane.. na tuweke mkakati wa kuitangaza JamiiForums Shinyanga.
 
Last edited by a moderator:
Majenga alishafariki pia,nilikutana nae Saut kipindi flani alikua Lecture pale...

Mama Nkulu alikua katibu wa marehemu bishop Balina... sasa hv sijui yuko wapi.....

Mama Elda Nkulu ni mkuu wa shule Ya St. Francis of Asis Shinyanga
 
Ok kumbe ngudungi aliisha tupa chaki!mama Nkulu she was so smart like her late husband mr Nkulu .
 
Ok kumbe ngudungi aliisha tupa chaki!mama Nkulu she was so smart like her late husband mr Nkulu .

Mama Nkulu kanifundisha Chemistry form 1&2,Ngudungi Phyisics and Geography form 1&2,Biology form 1 Bundala,form 2 Kiyuga!!!

Teacher Ngudungi,alishaa hana na chalk....yupo na mwanafunzi wake Suleiman Nchamb's
 
Ok duh ngudungi peace sana yule siku nikifika mkoa nitamtafuta thanks kwa kutoa address yake pamoja sana MAWAZO UJENZI.
 
Mna habari kama Lucas Ngudungi amefariki tarehe 03.02.2017 na kuzikwa Kahama kijiji cha Lowa 05.02.2017?? Alianza kuugua 27.01.2017 na kufariki 03.02.2017 pale bugando hospital mwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…