Nilivyo ona title nilifikiri huko serious kabisa unataka kutafuta Jf super star 2014!
Nilivyo ona umemuweka Wema kwangu Mimi umepunguza thamani ya huu Uzi! Wema ulitakiwa umuweke katika list ya macelebrity wanao hitaji msaada wa kisaikolojia nafikiri ange fit zaidi!
Nafikiri ungeweka vigezo kwanza vya mapendekezo!
Mfano!
Mtu aliye pata Air time kubwa Jf!
Mchango wa muhusika kwa jamii na wana jf wanatambua mchango wake ukiwauliza!
Mtu mwenye shughuli ya kueleweka na jamii inajua huyu mtu ana shughuli Fulani na hata wana jf wanaweza kusema!
Mtu ambaye wana jamii wanaweza wakaiga mfano wake au anaweza kuwa mfano wa kuigwa!
Pia lazima tuanishe huyo mtu anatakiwa kuwa wa Rika gani?
Kwa kulingana na niliyo yasema kwangu Mimi kwenye List wanaweza kukaa wafuatao!
1.Diamond
2.Millard Ayo
3.Lady jayeed
4.Salim Kikeke
5.Alikiba
Salama jabir nashindwa kumuweka kwenye list yangu kwasababu pamoja kuwa mtangazaji mzuri kwangu Mimi hawezi kuwa mfano wa kuigwa(Me)