Jamiiforums Superstar of the year 2014

Jamiiforums Superstar of the year 2014

SuperStar wa JF ni Le Mutuz tuu hakuna mwingine hata ukeshe 24/7 JF na kujiandikia threads na kujijibu mwenyewe,,ha ha ha Le mbululaz! U know!

Le Mutuz ndio habari ya mujin hapa JF kama Maji vile usipoyaogea utayanywa tu!

- HAHAHAHAHAHAHAHAHAH U KNOW!!

Le Big Show
 
Mbona mnachakachua thread.,
waanzishieni masupa uchwara wenu thread.

Kwa uzi huu DIAMOND hana mpinzani 2014.
 
Toa Wema weka Zari oooh kumbe Zari mganda basi Siti bint Kasri aka Bibi Bomba.
 
Back
Top Bottom