Kiukweli JF super star of the year ni Le Mutuz...haiwezi kupita wiki bila kuzungumziwa tena kwenye zaidi ya uzi mmoja...sijui ulikua unawaza nini kwenye hiyo list yako hayupo....
Kuliko wema si bora amuweke binamu warumi kwa mchango wake wa ubuyu kwenye hili jukwaa!Maana akipigwaga ban jukwaa linapoaaaa

Naona unampigia husband kifua. Hahaa.
Hao akina nani sijui tuzo na kiki wanazopata huko zinawatosha bora shemeji Le Mutuz!bora hata wangesema binam aku hiyo list hatuitakiii!!kwanza wana faida gani na siye ao!!hee mie masuperstar wangu humo juu hawamoHahahaaa hamna bwana Le Mutuz ana mbebez wake mkaree anachukua masters ya sheria...Mimi ni Le Super fan u know.....
Hao akina nani sijui tuzo na kiki wanazopata huko zinawatosha bora shemeji Le Mutuz!bora hata wangesema binam aku hiyo list hatuitakiii!!kwanza wana faida gani na siye ao!!hee mie masuperstar wangu humo juu hawamo
Nilivyo ona title nilifikiri huko serious kabisa unataka kutafuta Jf super star 2014!
Nilivyo ona umemuweka Wema kwangu Mimi umepunguza thamani ya huu Uzi! Wema ulitakiwa umuweke katika list ya macelebrity wanao hitaji msaada wa kisaikolojia nafikiri ange fit zaidi!
Nafikiri ungeweka vigezo kwanza vya mapendekezo!
Mfano!
Mtu aliye pata Air time kubwa Jf!
Mchango wa muhusika kwa jamii na wana jf wanatambua mchango wake ukiwauliza!
Mtu mwenye shughuli ya kueleweka na jamii inajua huyu mtu ana shughuli Fulani na hata wana jf wanaweza kusema!
Mtu ambaye wana jamii wanaweza wakaiga mfano wake au anaweza kuwa mfano wa kuigwa!
Pia lazima tuanishe huyo mtu anatakiwa kuwa wa Rika gani?
Kwa kulingana na niliyo yasema kwangu Mimi kwenye List wanaweza kukaa wafuatao!
1.Diamond
2.Millard Ayo
3.Lady jayeed
4.Salim Kikeke
5.Alikiba
Salama jabir nashindwa kumuweka kwenye list yangu kwasababu pamoja kuwa mtangazaji mzuri kwangu Mimi hawezi kuwa mfano wa kuigwa(Me)

Ally Kiba haitaji kick kama hizi, ametoa single moja tu nchi nzima inatetemeka wakati wale wa mtaa pili wanatafuta kila story ili kutafuta cheap popurality kama hii thread.
Sikuwa najuwa kama Zari ni kahaba tu anavyotambulika uko kwao Uganda mpaka wale wadandia nyota za wanawake walipo msportlight.
Umemsahau le mutuz....u know Uzi wake ukiwekwa lazima upate comments nyingi
Kwenye masuala ya kijamii ndo sisemi kuanzia instagram party hadi kupiga picha na mabebez wakareee
Pia usisahau mchango wake katika masuala muhimu ya kitaifa kama vile kuhakikisha Mrs Tanzania anavua taji....na kutoa matamko muhimu ...