JamiiForums tunaomba mtupe mrejesho wa zile nafasi za kazi mlizotangaza

JamiiForums tunaomba mtupe mrejesho wa zile nafasi za kazi mlizotangaza

Hivi JF wanapata hela wapi,maana sionagi hata wadhamini kama matangazo mbalimbali

Inaingiza pesa vizuri tu mkuu ,kwani wewe ukifungua google unaona matangazo? Ushawahi kufika Google uone imeajiri watu wangapi?

Naomba tu Maxence na Mushi wafanye Vetting ya maana wasije wakaajiri "TEETH" tu ndani ya JF.
 
Hilo tangazo sikuliona ata vigezo vyake kwa sisi tulieishia from 2 je tunakizi vigezo
 
Back
Top Bottom