T The Initiator huru JF-Expert Member Joined Dec 4, 2017 Posts 1,993 Reaction score 2,635 Jul 15, 2024 #1 Kama kichwa kinavyojieleza, JF naomba mtupatie mrejesho wa zile nafasi za kazi mlizotangaza. Natanguliza shukrani.
Kama kichwa kinavyojieleza, JF naomba mtupatie mrejesho wa zile nafasi za kazi mlizotangaza. Natanguliza shukrani.
Red black JF-Expert Member Joined Nov 29, 2019 Posts 5,962 Reaction score 17,648 Jul 15, 2024 #2 Kuwa na subira.
Mkwere Sumbawanga JF-Expert Member Joined Sep 28, 2015 Posts 744 Reaction score 660 Jul 15, 2024 #3 Vuta subira
Fundi manyumba JF-Expert Member Joined Nov 25, 2018 Posts 3,799 Reaction score 8,063 Jul 15, 2024 #4 Ahahahha nikusanue tuu.. Tangazo kinawekwa ili tu kuwepo na maneno yale Ajira zinatolewa jf. Ila uki deep down mambo yanaishaga juu kwa juu huko huko ni kubadilishana vitengo tu
Ahahahha nikusanue tuu.. Tangazo kinawekwa ili tu kuwepo na maneno yale Ajira zinatolewa jf. Ila uki deep down mambo yanaishaga juu kwa juu huko huko ni kubadilishana vitengo tu
ki2c JF-Expert Member Joined Jan 17, 2016 Posts 7,719 Reaction score 14,506 Jul 15, 2024 #5 Hivi JF wanapata hela wapi,maana sionagi hata wadhamini kama matangazo mbalimbali
K kibobori mahoro JF-Expert Member Joined Dec 12, 2022 Posts 7,452 Reaction score 10,785 Jul 15, 2024 #6 Msinisahau, ninafaa kwa kazi ya "mtunza hazina " sijawahi kuiba hata senti ya mtu.
C Code 255 JF-Expert Member Joined Jul 6, 2024 Posts 904 Reaction score 3,570 Jul 15, 2024 #7 ki2c said: Hivi JF wanapata hela wapi,maana sionagi hata wadhamini kama matangazo mbalimbali Click to expand... Hela unawapa wewe
ki2c said: Hivi JF wanapata hela wapi,maana sionagi hata wadhamini kama matangazo mbalimbali Click to expand... Hela unawapa wewe
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 56,205 Reaction score 79,515 Jul 15, 2024 #8 ki2c said: Hivi JF wanapata hela wapi,maana sionagi hata wadhamini kama matangazo mbalimbali Click to expand... Inaingiza pesa vizuri tu mkuu ,kwani wewe ukifungua google unaona matangazo? Ushawahi kufika Google uone imeajiri watu wangapi? Naomba tu Maxence na Mushi wafanye Vetting ya maana wasije wakaajiri "TEETH" tu ndani ya JF.
ki2c said: Hivi JF wanapata hela wapi,maana sionagi hata wadhamini kama matangazo mbalimbali Click to expand... Inaingiza pesa vizuri tu mkuu ,kwani wewe ukifungua google unaona matangazo? Ushawahi kufika Google uone imeajiri watu wangapi? Naomba tu Maxence na Mushi wafanye Vetting ya maana wasije wakaajiri "TEETH" tu ndani ya JF.
M Msumb JF-Expert Member Joined Oct 18, 2022 Posts 3,452 Reaction score 5,372 Jul 16, 2024 #9 Hilo tangazo sikuliona ata vigezo vyake kwa sisi tulieishia from 2 je tunakizi vigezo