JamiiForums ukihitaji POVU, fanya haya..

na ukitaka pm ijae waambie umepokeaa pension au fao la mzee wakoo ndo utaonaa foleniii yakeee#jaman nishapokeaa ko karibun
 
Ila sio siri single mothers wanakuaga na hasiraa hata mtaani wako hivihivi sio humu tu
Usiombe ukutane na single mother mchaga au mhaya halafu ni Mwanasheria.

Utatamani dunia ipasuke kwa hizo hasira, stress na roho ngumu.
 
[emoji16][emoji16] sijui kama linanuka maana binadamu wanatabia mbaya atalishika na kulitumia wala hakushtui ila akikaa na mashoga zake anakutangaza
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yako hainuki inanukiaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…