JamiiForums ukihitaji POVU, fanya haya..

1. Waseme vibaya single mothers hili povu utafulia chupi..vitambaa vya meza.. blanket kwa wale wanaoishi sehemu za baridi..mapazia ya vyumba vyote.. na hata la kusafishia vyoo litabaki na nguo zingine. Na wanaenda mbali wale wakongwe wanalog off halafu wanakuja na I'D za hiyo kazi ya kuzalisha povu

2. Ita wanaume wavulana au wanaume suruali. HAHAhaha hapa ndipo pale jamaa wanachukulia Ban nyingi kwa Cookie na Paw na hapa kila mwanaume anakuwa na pesa na maisha mazuri gafla

3. Sema wanawake wananuka UCHI...hapa ndipo pale wanawake huungana na kuwa kitu kimoja gafla sio wa MMU siasa wala jukwaa la wakubwa. kwa wale wajanjaa kama mimi tukishaona hivyo hata pm zao kwa siku hiyo hatuingii maana hautajibiwa, sure .

4. Diss vibamia au sema wanaume wananuka pumbu... hapa kuna visingizio kibao.. mara
Mwanaume hasifiwi usafi anasifiwa kazi.
Mara utaskia mimi nchi 7.. sasa sijui mwenye kibamia nani...

Huwa mnaguswa wapi aseeeh? ??
Umesahau;
5. Msifie JPM, hilo povu la bavicha ni shida!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimejikuta nacheka kwa dk chache then nikaekaeka pause kuquote hili povu asee Daby imepenya kwa mbaaaali
 
Back
Top Bottom