JamiiForums ukihitaji POVU, fanya haya..

Ukutane na couple huku alfu ujaribu kuichambua au kujipendekeza kwa me km wew ni ke,,, au kujipendekeza kwa ke km wew ni me,,, nadhani siku hiyo utajua maana halisi ya neno penzi!!!
 
[emoji16][emoji16] sijui kama linanuka maana binadamu wanatabia mbaya atalishika na kulitumia wala hakushtui ila akikaa na mashoga zake anakutangaza
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…