JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Usingizi umekata leo nageuka popo
 
Mkuu Dellapina ameahamia Massachusetts kasema muwasiliane
 
Mimi mpaka sasa usingizi haukuji,niko na kanokia tochi tu,kitandani,hasa ukiwa singo noma sana aisee,
 
Namsikilizia wife anakoroma tu hapa pembeni yangu...mie tangu saa tatu usiku tumbo linanipigisha marktime kadhaa za maliwatoni...mpaka dakika hii nshagonga safari za toileti kama 4 hivi
Faida za kuzamia sherehee za watu [emoji123] [emoji2]
 
Back
Top Bottom