Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akishtuka pamekucha huyu nae atakuwa keshamuita mpaka kachoka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona unataka kuniletea mambo ya wazee, wana smartphone na bandle ila wanakutuma enternet cafe ukawaangalizie issue zao [emoji26]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hahahaha
usi nivutie picha utakosea ila zaman nlikuwa nakula mpaka napata vidonda mdomoni.
dokta akasema natafuna mno vitu
[emoji125]
Hahahahahahaha
usi nivutie picha utakosea ila zaman nlikuwa nakula mpaka napata vidonda mdomoni.
dokta akasema natafuna mno vitu
[emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hehehee
Nyie mtausoma bhana... Acha waendelee kuviziana tuuu, kuna raha yake
Na ndivyo itakavyokuwa siunajua mambo ya kuviziana hakunaga mjanjaHahaha
Halafu siku ya kuonana kila mmoja aanze kusema, nilikuwa nakusalimia tuu
Hebu cheka tuu maana sio kwa kula huko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mpaka nimecheka kwa nguvu
hahahah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mpaka nimecheka kwa nguvu
Subiria siku ya kukutana sasaaa.... Oooh nilikuwa nakusalimia tuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
ila kuviziana nako safi sana
halaf ule mpishano ndio unakuwa kama unaongeza hamu ya kutaftana.
HahahaNa ndivyo itakavyokuwa siunajua mambo ya kuviziana hakunaga mjanja
Sio ugonjwa huo, ujue Mungu anakuonahahahah
hapo Ney sasa unacheka ugonjwa wa mwenzio
Mungu hapendi
yaan nilikuwa napata vidonda sanaa.Hahaha
Huyo dokta hana nia nzuri na wewe kabisaa.... Anamyima mwanaume chakula kweeeli
Aiseeeeyaan nilikuwa napata vidonda sanaa.
nimeinigia kwa daktari kwenyewe natafuna ki babo gum kwa shdaa.
ikabid dokta aanze kucheka tuu sasa.
ila now ndo nakula kula kama hivo tuu.
hahahahaSubiria siku ya kukutana sasaaa.... Oooh nilikuwa nakusalimia tuu
sasa vile vdonda vilikuwa ugonjwaSio ugonjwa huo, ujue Mungu anakuona
Hahahahahahaha
utakuta mnaishia kucheka cheka tuu
mnauliza vip ,upo, unaendeleaje
the mnarudia hizo salam wee
had raha
Acha nicheke tuu maana nimeshindwa kujizuia, hivi huo ni ulaji gani nimejaribu kufanya imagination imekataahahahah
hapo Ney sasa unacheka ugonjwa wa mwenzio
Mungu hapendi
Si ulikuwa unajikula sasaaasasa vile vdonda vilikuwa ugonjwa
hahahaaAiseeee
Hizo babo gum werevaa huleta njaa sanaaa ujue....