JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona unataka kuniletea mambo ya wazee, wana smartphone na bandle ila wanakutuma enternet cafe ukawaangalizie issue zao [emoji26]

hahahaha
sasa mi ndio mambo zangu hizo
hivi kuingia jf tu ni kama nilifanya invention kwenye cm yangu, nilijihisi ni vere jiniasi
sasa ukisema niangalie eti sjui nn aaah hapo ndio.
ndukiiiii [emoji125]
 
Hahaha
Huyo dokta hana nia nzuri na wewe kabisaa.... Anamyima mwanaume chakula kweeeli
yaan nilikuwa napata vidonda sanaa.
nimeinigia kwa daktari kwenyewe natafuna ki babo gum kwa shdaa.

ikabid dokta aanze kucheka tuu sasa.

ila now ndo nakula kula kama hivo tuu.
 
Aiseeee
Hizo babo gum werevaa huleta njaa sanaaa ujue....
hahahaa
kwani minlikuwa najua hizo

nlikuwa naweza kula karanga, azam icecream, choklate, mchana nikapiga ubwabwa wa kutosha
sasa ukimaliza na ka pepsi siku ndio ina isha isha. saa kumi na moja tuu jion jion ka njaa ka usiku kana anza [emoji23].
nnavo rud
 
Back
Top Bottom