JamiiForums Usiku wa manane

Jirani leo sitokutelekeza kwa kweli.
Niambie lakini jirani?
Jirani huo ukaribu wetu mimi na wewe uishe tuu maana unanisumbua sana jirani yako mpaka nakosa maelewano mazuri na majirani wengine, iceman ameniambia yeye hataki kuwa sub kichwa kichafu means hata mambo ya second chance yaan umenipa wakati mgumu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…