JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Jirani huo ukaribu wetu mimi na wewe uishe tuu maana unanisumbua sana jirani yako mpaka nakosa maelewano mazuri na majirani wengine, iceman ameniambia yeye hataki kuwa sub kichwa kichafu means hata mambo ya second chance yaan umenipa wakati mgumu sana
Jirani we ndiye wa pekee hapa mtaani.
Jirani jana nilikutafuta nikaona kimya ikabidi niende tu.
 
Back
Top Bottom