Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Njema tu bundiNiaje mapopo..
Hapana nilikuwa naumwa kifua ndio maana sauti haikutoka, usinibebeshe mizigo ya mtu maana yangu yenyewe imenielemeaUnatabia mbaya hutoi sauti nikasikia haya sasa nimemkosa ntakubebesha mizigo yake
Dah ham isha niishahahahaha
mimi ni mmoja ya waasis kwa huu uzi hapa kaka
namuelewa kila mtu
Mbona nilikuwepo jirani yangu kila siku nakwambia kuwa na subira hutakiJirani we ndiye wa pekee hapa mtaani.
Jirani jana nilikutafuta nikaona kimya ikabidi niende tu.
Hakuna nenoi dont kno man!!
she is not feeling well may be
i gotta go, kama akija mwambie nlikuwepo
Njema tu bundi
Aenda wapi tena huyu mwanaume jamani mbona anakuwa hivyo?Aga mapema akija ney ntafisha ujumbe
Hahahahaha.Pole mkuu nimeona povu
Mwambie nipo apa aje namsubili kwa ham kubwaPoa za Kwako
Jana ukajificha ulitafutwa sana
Salama yako fanya aje aibebe mwenueweHapana nilikuwa naumwa kifua ndio maana sauti haikutoka, usinibebeshe mizigo ya mtu maana yangu yenyewe imenielemea
Unaniachaje?hahaha
Ney hatak kuja
this thread wont be the same without her
ngoja niepe
Chanzo ni wewe ulikua wapi akikusubili bila kukuona?Aenda wapi tena huyu mwanaume jamani mbona anakuwa hivyo?
Siku mbili tu jirani ndio subira imenishinda na makinia ya usingizi. [emoji23] [emoji23]Mbona nilikuwepo jirani yangu kila siku nakwambia kuwa na subira hutaki
Ni good mzazi.Hahaaa bichwa lichafu niaje..
Ha ha ha kwa zam sijui imekuaje kupishana hukuUnaniachaje?
Yaan sielew nafanyaje uwiiiSalama yako fanya aje aibebe mwenuewe
Hamna shida ila najua kanifanyia makusudi sawa tuuChanzo ni wewe ulikua wapi akikusubili bila kukuona?