Neybright
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 5,690
- 14,477
Ngoja mie nitangulie maana,,,Haya kama umeelewa kuna sehem upo lakini eeh?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja mie nitangulie maana,,,Haya kama umeelewa kuna sehem upo lakini eeh?
Nasubilia kwa ham itapendeza kama wengine hawatosikia uniimbie mwenyeweKho kho kho... Microphone test ..one two ...one two.
Usishangae nilikuwa natengeneza sauti niweze Ku sing a wonderful song muda ukifika.
You will enjoy it
Sent from my IPhone 7 plus by using JamiiForums mobile app
Where to friend??Yeah...but very soon Nina waaga.
tutakua pamoja kila ijumaa na jumamosi
Kabla hujatoka kule sinema tuNgoja mie nitangulie maana,,,
Yeah its only special for you..Nasubilia kwa ham itapendeza kama wengine hawatosikia uniimbie mwenyewe
Karibu sana
Nakusubili hukoYeah its only special for you..
Hawa hawapaswi kusikia
Sent from my IPhone 7 plus by using JamiiForums mobile app
Ume surrender eeh.Usiku wa manane ndo unaingia kwahiyo mbaki salama[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]wakuu
Usitanie mda wote hujamuona asee labda mpo wote huko mana kapoteza speednashindwa kulala
Nay yuko wap?
braza nilijarib kulala lakin nashndwa [emoji23]Usitanie mda wote hujamuona asee labda mpo wote huko mana kapoteza speed
I mean katikati ya week nachoka sanaWhere to friend??
Sent from my IPhone 7 plus by using JamiiForums mobile app
hahahaha
Angalia comment zake alikwepo na katoka si mudabraza nilijarib kulala lakin nashndwa [emoji23]
imebid nimrudie hapa
Pole mkuu kwa uchovu wa katikati ya wiki.I mean katikati ya week nachoka sana
Na Nina wahi kulala, so weekend ndio tutakua tuna popoka
hahahahAngalia comment zake alikwepo na katoka si muda
Nahisi mlijificha chaka moja sio bure