JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]tutaonana mida kama hii kesho wakuu na Mwenyezi Mungu awe nanyi usiku huu



[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Ameen we had a great chatting.. Be blessed

Sent from my IPhone 7 plus by using JamiiForums mobile app
 
Kama ulipita maisha ya shule lazima ukulupue japo mara moja kwa wiki, wengi wamefsnya ni siri tu..
Nauonea huruma huo mkono ulivyogeuzwaga papuchi

Sent from my IPhone 7 plus by using JamiiForums mobile app
 
Mondray hiyo misukule uliyoifukua haya bhana

Sent from my IPhone 7 plus by using JamiiForums mobile app
 
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmoja wapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nn kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11Asbh. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua nakunywa maji na kwenda kukojoa tu mpaka kukuche!
Aisee pole kamanda kwa kukosa usingizi
 
Back
Top Bottom