JamiiForums Usiku wa manane

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wala hata sijasherekea nilipoteza tuu pesa maana nilikuwa nakuwaza [emoji26][emoji26],muvi inaisha hata sikumbuki mwanzo wala jina lake
hayaa
ngoja tutaoanga tena twende

halaf tuanze kwanza yetu then, Manga na mwenzie tuta enda ya pilii
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
kwa maana ipi bro ebu fafanua
Fc Barcelona special thread.
Tukiwa na msiba we unafanya sherehe,
Tukiwa na sherehe unatukumbusha msiba. Ili mradi utunyime raha!

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

- KANA -
 
Kakaangu unadhani hajakutambua basi kaamua tuu kukujaza upepo,
Siunajua wakaka hula vya watu vya kwao hawataki viliwe. Kaka jasiri ni yule ambaye hana time na shemej yake. Huyu ndio kakaangu love you broo.
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Ney una character kama za Michelle

unanikoshaga kweli kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…