JamiiForums Usiku wa manane

Fc Barcelona special thread.
Tukiwa na msiba we unafanya sherehe,
Tukiwa na sherehe unatukumbusha msiba. Ili mradi utunyime raha!

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

- KANA -
hahahaha
pale huwa napa penda sana

ila kuna nyakati huwa mna nifanya natoa povu sana [emoji23]
 
hahahaha
pale huwa napa penda sana

ila kuna nyakati huwa mna nifanya natoa povu sana [emoji23]
Ile siku PSG walivotupiga 4 ulifanya fujo sana. Hadi nkataman kupasuka kwa hasira, second leg tukakulaza mapema!

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

- KANA -
 
Ktk hiyo avatar, wewe ndio yupi hapo?
Salama kabisa, karibu sebuleni mkuu
Ahsante sana

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…