JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Aaaha kumbe ndio mbinu zake eeeh!?

Sasa hata kwenye masenema hakuna kwenda naye, asije kukudanganya akachenjua makinikia.
Siumeona ameniambia ameniwekea na movies yaan kakaangu naogopa nikifata hizo movies atanikula [emoji26] mie sitaki alafu ataniharibu sasa mie nitafanyaje nikimuona tuu naskia kulia,
Hivi Kaka na wewe umeshawahi kumpenda Msichana kama mimi ninavyompenda huyu kijana?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]manga ujue upo serious ndio mana naogopa nilijua tu matani ya jf ya kibabe jamaan yaan hapo ndio nimezidi kuogopa ujue ebu niambie
Kwa jinsi nilivyomjifunza ndugu yangu huyo katika hilo yuko serious. Simsemei lakini for so long nimebaini kamoyo kake kana ujumbe kwako. [emoji23] [emoji23] [emoji23] ila tuu usikubali mambo ya kupima ubora Wa makinikia before kibali cha uchimbaji.
 
Back
Top Bottom