JamiiForums Usiku wa manane

Mkuu huyo ni mdogo kipenzi kielelezo cha familia yetu na mbaya zaidi nimepewa advance..

Alafu wee kwa demi umenyatia kunipora sasa naona unafika na kwa mdogo wangu. [emoji21] [emoji21] [emoji21]
[emoji23] [emoji23] Naona unamtumia [HASHTAG]#demi[/HASHTAG] kama fimbo ya kunichapia,wakati ukweli unaujua,acha kuniharibia kwa mdogo wako,hiyo advance tunarudisha au unasemaje [HASHTAG]#Neybright[/HASHTAG]
 
Ungea vizuri na kakaangu, ila tuu make sure hauna anguko la kiuchumi [emoji28][emoji28]
Maana naskia kuna msemo wanasema bora umwage machozi kwenye vogue kuliko kumwaga machozi kwenye baiskeli [emoji6]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…