Ngoda95
JF-Expert Member
- Sep 15, 2011
- 2,683
- 4,900
Mkuu huyo ni mdogo kipenzi kielelezo cha familia yetu na mbaya zaidi nimepewa advance..Vibaya mkuu mi na wew tumetoka mbali sana,iweje ushindwe kunipa mdgo wako nimsitiri?
Alafu wee kwa demi umenyatia kunipora sasa naona unafika na kwa mdogo wangu. [emoji21] [emoji21] [emoji21]