Maasaa kama haya nikiamka najua Mwenye Enzi Mungu anataka nisali . ..1:30am to 5amAppreciate sana.Muda wa sala ni saa ngapi?
Nasali kwa dakika 5 au 15....lakini muda huu pia namtakafari MAULANA . .siweki mawazo machafu . ..kama ugomvi au visasi . .nina kuwa na positive thinking only . .....ubarikiwe ndugu yanguAppreciate sana.Muda wa sala ni saa ngapi?
Amen RAIn kweli ISIS, ngoja nikachukue udhu ni sali.
Be blessed sana.Endelea kua karibu na Mungu.It pays,Good Morning.Maasaa kama haya nikiamka najua Mwenye Enzi Mungu anataka nisali . ..1:30am to 5am
nasign out sasaNimesin in
Mnasema nimelala,mada zote kule forum nachangia peke yangu!