JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Kwaherini wandugu...ni zamu yangu kulala, wengine waamke kuendeleza lindo JF isiibiwe.
 
Je wote Mliolala, mmesha amka?
Tumshukuru Mwenyezi MUNGU kwa kuturudishia uhai baada usingizi.
 
Alhamdullillah tunamshukuru mwenyez Mungu tumeamka salama inshaallah
 
Haya tena kaaaama kawa team poooooooooooooooooooozzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
 
Back
Top Bottom