JamiiForums Usiku wa manane

Ningepoteza mwelekeo tuu mpz ila sio kuanguka, tofautisha kuacha njia na kuanguka korongoni you're the best honey be happy [emoji4]
Namnatakiwa kuyafanya kuwa Rasmi..

Hakuna maandalizi yaliyowahi kukamilika kiwepesi. Dhamira njema hudhihirishwa na matendo mema.

Kwa niaba ya familia nimesisitiza.
 
Namnatakiwa kuyafanya kuwa Rasmi..

Hakuna maandalizi yaliyowahi kukamilika kiwepesi. Dhamira njema hudhihirishwa na matendo mema.

Kwa niaba ya familia nimesisitiza.
Kaka kijana kakupa nini? Au ndio mambo ya pay in advance [emoji6]
Mbona unanisukumizia mapema mno kakaangu?
 
Aisee wewe hua huyaoni? Basi ntakua na langu moyoni bila kujijua ha ha haaa mana ana nifurahisha sana siku akija atoe maelezo mana kapunguza kitu kwangu

Cc@dark angle
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
mmmmh! tayar kuna yako moyoni
ni mchangamfu sana lakin yule atakufaa pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…