JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Hapana love hatuna majirani wa karibu zaidi ya kichwa kichafu yupo mita kadhaa so sio rahisi kuskia kelele
hahaha
kuishi na majirani wa karib raha, unakosa mengi

sku ingine unaskia watu wana gombana, wengine wakipika vzuri unaskia harufu.
kuna jirani hapa anapikaga samaki yaan naweza kula ugali na harufu ya samaki wake bas ni fundi kweli
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
yaan nimecheka had nimeanguka kutoka kwa kitanda.

you told him your self that you are okay with that
Pole mpenzi kwa kuanguka

Ila kakaangu kwanini ananisukumiza?
Ni kweli nimejaribu kumweleza my feelings for you vipi kuhusu ile misimamo yake na familia kwa ujumla?
Hapo ndipo napata mashaka there's something umempatia kakaangu
 
Kuhusu makinikia msimamo uko pale pale kwamba si ruksa kuchimbwa na kuchenjuliwa kabla kampuni hiyo hatujaipa kibali cha Uchimbaji Wa Huo Mgodi.

Hiyo ni family principal nami nitaisimamia daima utekelezaji wake.
 
Pole mpenzi kwa kuanguka

Ila kakaangu kwanini ananisukumiza?
Ni kweli nimejaribu kumweleza my feelings for you vipi kuhusu ile misimamo yake na familia kwa ujumla?
Hapo ndipo napata mashaka there's something umempatia kakaangu
where there is love there is life, you brother wants you to live.
while you grant me with your gift of love i should protect you( that is granting you the gift of life) and lov you moree.

so your brother wishea you to stay in safe hands, ana his instics are right
 
hahaha
halaf mtu anakuwa hajali
sku ingine alifungulia wimbo wa Lupela wa Ali Kiba sku nzimaa yaan mziki wenyewe mbaya halaf anarudia rudia just kuwa kera tuu
Jamii zina watu wakila aina..

Kwa kuwa kero imekuwa kubwa it is wise kwa utulivu tu kama majirani mumface na mumueleze hali halisi kuwa anawakwaza.
 
where there is love there is life, you brother wants you to live.
while you grant me with your gift of love i should protect you( that is granting you the gift of life) and lov you moree.

so your brother wishea you to stay in safe hands, ana his instics are right
Okey baby wangu.
 
Back
Top Bottom