Neybright
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 5,690
- 14,477
Hapana love hatuna majirani wa karibu zaidi ya kichwa kichafu yupo mita kadhaa so sio rahisi kuskia kelelehaha huyu jirani ni jipu halaf anapiga nyimbo za ki bar bar vile
hivi Ney hujawahi kaa na jiran msumbufu?