JamiiForums Usiku wa manane

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
ila shemeji huoni kama una muonea?
ni vema fungo ipimwe kama yatosha kwenye kufuli na kama inaweza fungua kufuli shemeji
Aaah hicho tumekikataa zitakutana huko huko hata kama haziingiliani itatafutwa mbinu ya kuadjust mradi kufuli ufunguke.
 
Bro! I am a crazy biyaitch.. They are just names.. Matter ov fact I don't give a... Anyway advice is under consideration..
aah usjali na mie nlikuwa nawaza tuu.
ujue dini ni hisia na hayo majina kwa dini ya kikristo yana symbolise Mungu mwenyewe, yaan hadi watu huyatumia kusali. so ili kuweka uvumilivu kwa watu wenye hisia nayo, ndio nikawa concerned

though uko free kuita vyovyote vile hii ni nchi huru na hujavunja sheria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…