Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Mmh ujue jirani kila kitu kuhusu dar anauliza mpaka coco beach jaman kweliiiihahahaha
wewe Manga huyu mbona wa dar hapa hapa juz juz tu nlimuona pale jirani na clouds media
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmh ujue jirani kila kitu kuhusu dar anauliza mpaka coco beach jaman kweliiiihahahaha
wewe Manga huyu mbona wa dar hapa hapa juz juz tu nlimuona pale jirani na clouds media
hahahahakhaaàaa
nimesikia ni kitoeo kitam sana.Aiseee watu sio waoga
Hafu wewe sawa tuHapana siwezi mie
Karibu mida ya wanga
Aisee vingine sio vya kuiganimesikia ni kitoeo kitam sana.
Hamna uoga kwenye vitu vitam
Hata mm nimeona mawindo ya uck yanalipa. Nko hapa jiran na bridge. Wewe wapi?mimi niko lindo hapa.
how a u lakin JJ
mweeer!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yupo kwa future itakuwa vumilia tu jirani
Nyama ya kobe jaman [emoji134]hahahaha
mbona mshangao umekuwa mkubwa?
Mie tena au dark angel mangaHafu wewe sawa tu
Daah afande utakuwa umeokoa jahazi sana.hahaha
siku nikija kwa Ney ntakupitishia hapo
mmi huwa napenda sana nyama ya kobe afande
ina niweka imara kwenye lindo kama hivi
kweli afandeAfande inabidi niwahi kabisa si kawaida hii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anko magu legeza kidogoanhaa!
mimi nlitaka niende ila kipindi hiki cha Magufuli, future ni wa kumwona kwenye tv tuu
yep yep yepWanajopo! Wanajopo!
Mwanajopo mwanajopoWanajopo! Wanajopo!
Inabidi ulale tu jirani hakuna namnakweli afande
ujue Ney ni moyo wangu na mwolo wangu sasa leo part of moyo haipo kabsa hapa.
Habar hadi sasa ni nzrHabari za humu
Mbona mm nko bararani hujataja?asee watu kuna maeneno ma tatu
wako
guest house
club
au kwa future
Kobe itakuwa nyama nzuri sana maana hata bei yake si ya kitoto[emoji23] [emoji23] [emoji23]Aisee vingine sio vya kuiga