JamiiForums Usiku wa manane

Nyama ya kobe jaman [emoji134]
haaa
its tasty
ujue nyama ya kobe hata kama ni wake kobe wa kwenyw maji huwa ni laini halafu inautamu haiwi na chumvi ni kama ladha ya wanyama wengine wazuri wazuri

sku ingine nilikunywa supu ya kobe ilikuwa poa sana nlitoa pesa kadhaa tuu.
 
Daaah me nina roho ya pekee sinaga uroho wa hivyo wa kuonja kila nyama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…