JamiiForums Usiku wa manane

Mii nilipanga nikazuge maeneo yale bila kuingia ila haikua akilini sana nimejisahau

Ila itakua kumetisha mana ile hali niliona ya si kitoto
hahaha
braza mimi nlivo piga mahesabu hiyo future
nika download tu nyimbo zake bas namuangalia hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…