JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Popoooooooooooooooooooooz! Nijumlishe hapo usisahau...
 
7aecb8794e0b38fd995b6e38d2f3e9b6.jpg


Ntajua jinsia gani hawalalagi
Mkuu hapa kuna hatari ya kuibiwa kura! Jinsia zenyewe hizi za J.f utata mtupu.......
 
Natafakari jinsi ambavyo MWENYE ENZI MUNGU ameilinda nchi yetu kwa amani na mazuri yote aliyo nitendea kuanzia family yangu na vyote . ....hakika ni mwaminifu sana kwangu . ....nakuombea na wewe ambaye umeamka saa hizi . ..upate baraka zote za MAULANA MOLA WANGU RHABUKA . .....
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Asee nisikudanganye hawa mbu ni hatari alafu wana kelele kishenzi, nawasha taa lakin haisaidii.

Sjui wametumwa!!
Mda mwingine mpaka unatamani uwa zoom wawe wakubwa kama mbuzi kisha uwashushie kichapo
 
Pooooooooooooooooooozzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
 
Nipo hapa naangalia mpira ila ghafla tumekimbizwa na sielewi sababu usiulize tumekimbizwa na nani mnajua, mpira sasa hv umekua anasa
 
Kuna mbwa huwa anaruka ukuta anakuja kutibua viroba vya taka halafu anasepa, ukimchungulia dirishani tu anakimbia kama katumwa vile.

1481753587637.jpg
 
Back
Top Bottom