emanuel prim
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 508
- 475
Chagua mmoja hapo c najua unawapenda
Wanaume wa Dar
Unataka kupelekwa Banana Republic?Chagua mmoja hapo c najua unawapenda
Amen RABe blessed sana.Endelea kua karibu na Mungu.It pays,Good Morning.
Wanaume wa Dar
Wanazushiwa tuHapo atokee panzi kwenye hayo maji, watakurupuana hapo hakawii kuvunjika miguu na mikono mmoja wao. Shkamoo wanaume wa darrrr!
Mda mwingine mpaka unatamani uwa zoom wawe wakubwa kama mbuzi kisha uwashushie kichapo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Asee nisikudanganye hawa mbu ni hatari alafu wana kelele kishenzi, nawasha taa lakin haisaidii.
Sjui wametumwa!!
Kuna mbwa huwa anaruka ukuta anakuja kutibua viroba vya taka halafu anasepa, ukimchungulia dirishani tu anakimbia kama katumwa vile.
View attachment 446334