JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Eti kuna demu amenipigia simu usiku huu ananiuliza kama nimelala

nilichomjibu halali tena mpaka kesho muda kama huu
 
nipeni mbinu za kupata usingizi jamani
 
Popoooooooooooooooooooooozzzzzzzzzzzzzzz mkuje huku
 
Nipo nimehisi kiu nikaenda kuangalia kwenye friji nikakuta hakuna maji nikatoka nje kuna duka jirani huwa anakesha, ile nafungua gate nakutana na rafiki yangu anapita na sikutegemea kumwona maeneo haya mida kama hii.
 
PopooooooooooooooooooooZ! Uwiiiiiiiiiiiii,usiku ni ndio jiko la mchana....
 
Mnapiga kelele jamani mmenishtua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom