Msolo
JF-Expert Member
- Oct 19, 2008
- 2,713
- 3,559
Hahaha, itabidi umsamehe tuUsingiz haujawahi kumwacha mtu salama alafu apa atakuja sa 12 kujitia ndo anajibu
Msolo[emoji769]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha, itabidi umsamehe tuUsingiz haujawahi kumwacha mtu salama alafu apa atakuja sa 12 kujitia ndo anajibu
Hadi wewe ni Popo? Watoto utawaamsha na mianga yako ya simu.
Hahaha. ..hamna hiyo msg ya mchana nilikuwa namzingua mtu..Hadi wewe ni Popo? Watoto utawaamsha na mianga yako ya simu.
Hatarious.sasa upo macho lakini. Karibu
Asante nilishituka kidogo..Hatarious.sasa upo macho lakini. Karibu
P ..hawajambo?
Vipenzi vya baba yao.ha ha ha ha.P ..hawajambo?
Wakubwa sasa bila shaka.
Ukipendwa shikana , kama vile namwona anavyoamka anakusubiri umalize kuchat.[emoji12][emoji12][emoji12]Vipenzi vya baba yao.ha ha ha ha.
Hatujambo kwa ujumla.
Watoto wanakimbia sasa hivi wanaenda shule kabisa...
Byeeee nisijenuniwa na baba p buree.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umejuaje?? Yaani kakaa kabisa....Ukipendwa shikana , kama vile namwona anavyoamka anakusubiri umalize kuchat.[emoji12][emoji12][emoji12]
Mapumziko mema mama P
Lol. Haya laleni mama.Umejuaje?? Yaani kakaa kabisa....
Hamna namna....
Ndiyo mke wake inabidi anikubali hivyo hivyo.....
Sawa mpendwa asante , uwe na mapumziko mema pia..
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo hapa lindo.
Hahahaaaa.
Wengine vitoto vya mama vimelala kitambo sana