JamiiForums Usiku wa manane

Usingizi umekata toka saa tisa mpk mida hii nimejaribu kulala nimeshindwa nasoma soma post tu huku JF kukuche niwahi kibaruani.
 
Thanks mkuu ni tabu kwa kweli hii hali imekuwa ikinitokea sana, mara baada ya kurudi toka masomoni China sasa sijui ndiyo adoption yenyewe au vp, maana China iko mbele kwa masaa matano ukilinganisha na bongo.
Mara nyingi inakuwa ivyo kwa wanafunz wanapomaliza masomo yao au wakat wa likizo. Ila itaisha baada ya muda mfupi. Me kwangu imekuwa kama jambo la kawaida. Sipendi ila najikuta nimeshtuka na kulala hapo ndy bhas tena. Hope inamwisho hii hali
 
Kauli tata hiyo my jje's

Mtoto mdoli
Mtoto ulikuwa kwenye uumbaji au
Mtoto ulikuwa unambadilisha pampers
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]

Jesus is my saviour and a friend
 
Atalalaje wakt hajaniaga
saint ivuga[emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350]
My love

mbona nilikuaga kwenye ile thread ya Gospel
Hukuona
 
Afu wewe jamaa maneno gani ya kugombanisha unayaongea haya?
Mimi na Inna sasa hivi ni kama mahondaw na smart.
Hatuambiliki hatusikii la mtu

cc inna
Ndo unaamka saa hizi!![emoji23] [emoji23] [emoji23]........Msolo tayari ameshafanya yake usiku wa manane,wewe ndo unaamka Msolo ameshamaliza kazi ndo anaenda kulala!![emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…