Unaenda WAPNapita zangu
Soma zaburi 20.....MWENYE ENZI MUNGU NI MWAMINIFU SANA. ...Naomba Maombi Yenu Timu Jf At Night! Nauguza Wife
Nipo nimehisi kiu nikaenda kuangalia kwenye friji nikakuta hakuna maji nikatoka nje kuna duka jirani huwa anakesha, ile nafungua gate nakutana na rafiki yangu anapita na sikutegemea kumwona maeneo haya mida kama hii.
Asante MkuuSoma zaburi 20.....MWENYE ENZI MUNGU NI MWAMINIFU SANA. ...
Wife anaendeleaje?Naomba Maombi Yenu Timu Jf At Night! Nauguza Wife
Amen RAAsante Mkuu
hali nzur kdogo kulinganisha na janaiWife anaendeleaje?
Amka wewe unalala sanaIkifika SAA 8.usiku naombeni mniamshe jaman
Nishaamka mkuu nipo hapa kibarazani nje.napiga pilau.[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Amka wewe unalala sana
Sasa maombi ya herufi kubwa ni kama una mkaripia MunguMWENYE ENZI MUNGU ATUONGOZE NCHI YETU TANZANIA MILELE YOTE KATIKA JINA LA YAHUSHUA HA MASHAIC ..
AMEN RA