JamiiForums Usiku wa manane

Hahahaha sio sana kama mada za mshana jr.

sent from kuzimu
Kila nikiangalia naogopaaa.... ila ngoja nijikaze

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Usiogope iyo ni picha yangu nilipiga mwaka jana baada ya kutoka jela

sent from kuzimu
 
Usiogope iyo ni picha yangu nilipiga mwaka jana baada ya kutoka jela

sent from kuzimu
Nikajua baada ya kutoka usukuleniiii.[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Nikajua baada ya kutoka usukuleniiii.[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huko bado sijafika kwa sasa nipo tu kuzimu, karibu siku moja niwe mwenyeji wako nipate kukukarimu vizuri

Me mbona huko hua nakuja sana sio mgeni kabisaaaaa.... lol

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Me mbona huko hua nakuja sana sio mgeni kabisaaaaa.... lol

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] basi ukija tena usikose kunitafuta tubadilishane mawazo kidogo

sent from kuzimu
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] basi ukija tena usikose kunitafuta tubadilishane mawazo kidogo

sent from kuzimu
Usikondeeee.... niandalie mvinyo mwekundu tuu.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
4:11am Tuesday

8.8.2017

The early morning of vote of no confidence in South Africa.

The general election in Kenya.

Nane Nane day (Farmers' day) in Tz.

It's a day of its own
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…