JamiiForums Usiku wa manane

Jamani usiku wa leo mbona umekuwa mrefu kuliko siku zote? Au ni athari za kupatwa kwa mwezi jana?
 
Mh kazi nichoke mbna utendaj Wangu Wa kaz ni sawa na zaman na nilikua nikilala najikuta naamka monie kabisa na hata nikiamka bas usingizi fasta about five minutes ila sasa naweza amka hoi Tisa usingiz kumi na moja kasor hapo nalala dakika 30 naamka tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…