JamiiForums Usiku wa manane

kama unatatizo la usingiz blink macho yako for just a two minutes utapata isingizi yu..
 
December matumizi huwa yanakua mengi na January majukumu yanaongezeka na huu mwaka ukifikiria zaidi nje ya box kuna uwezekano mkubwa wa janga LA njaa kutuandama Tanzania.
 
Ohoooo! Nipo Hapa....namalizia kipindi cha lala salama.
 
Dah! Njaa ya usiku we acha tu,sijui uelekeo wapi saa hizi....vibanda vyote huku kwetu vimefungwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…